YouTube Rumba Channel

Zenelith Rhumba Channel ni chaneli inayoangazia muziki wa dansi/rumba wa miaka ya 70 hadi 2000. Maudhui yetu hujumuisha pia UCHESHI. Karibu uburudike, onyesha upendo kwa ku SUBSCRIBE chaneli.