Jugo Media Music & TOS

Hii ni Channel Ambayo Inajihusisha na Muziki Katoliki, Muziki Mtakatifu kwa Kutumia Ala za Muziki Mbalimbali na Hasa, Organs yaani Kinanda. Tunakuletea Nyimbo Mbalimbali tunazozisikia Kanisani na hata kuziimba katika Matukio Mbalimbali ya Kikanisa. TOS Ilianzishwa katika Taasisi ya Jugo Media Network inayojihusisha na Uinjilishaji kwa Njia ya Mitandao ya Kijamii na baada ya kufuatiliwa na watu wengi Ikaonekana ni vyema kuweza kufuangua channel hii ili kuwaleta karibu zaidi wafuatiliaji na Wapenzi wa Muziki Mtakatifu na Vinanda