Don Bosco Kagera Sugar

Hii ni Channel ya Kwaya ya Mt. Don Bosco - Kagera Sugar kwa ajili ya kuinjilisha kwa nyimbo nzuri za Katoliki. Karibuni kusupport kwa Ku-subscribe ili uweze kupata kazi zetu kwa wakati.