Mwelekezi TV

MWELEKEZI TV itajikita katika kuelimisha na kuchambua kwa kina matini za lugha akrama ya Kiswahili. Sakura MWELEKEZI TV katika mitandao ya kijamii. MWELEKEZI TV itajibidiisha katika kuelimisha, kuburudisha na kuhamasisha. Matini zitajikita katika uchambuzi wa mfumo wa umilisi wa CBE pamoja na mfumo wa 8-4-4. Kiswahili kitukuzwe. Tujidi pamoja.
USISAHAU KUSUBSCRIBE NA KUSHARE.