Chomvu Toto TV

Karibu Chomvu Toto TV.(Mtoto Inuka Uangaze)
Mahali Salama na penye Furaha ya Kujifunza kwa Watoto, Vijana, wazazi na waalimu.
Kila video humu ni ya kifamilia, imejaa imani, na imeundwa kuhamasisha akili na mioyo midogo imtukuze MUNGU✨

🎶 Tunachotoa:
🌟 Nyimbo nzuri, tamu na rahisi za Injili kwa watoto,
🎭 Visa na michezo ya kusisimua ya kidini na michezo ya kuigiza,
📚 Hadithi zinazogusa za Kikristo, masomo, na shughuli mbalimbali za Watoto,
💡 Burudani chanya, salama na ya kufurahisha kwa watoto wa rika zote

Dhamira yetu ni kuleta tabasamu, kufundisha upendo wa Mungu, na kuwasaidia watoto kujenga maadili thabiti kupitia muziki, usimulizi wa visa, na michezo ya ubunifu.
Motto wetu ni "Mtoto Inuka Uangaze"

👉 Subscribe na ujiunge na familia yetu inayokua!
Tujifunze, tuimbe, na tusherehekee wema wa Mungu pamoja. ❤️✨
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp, SMS au tupigie kwa:+255 717 294 401