MGMN TV

YOHANA 8:31-32 & 36
31 Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi walomuamini, Nyinyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli,

32 tena mtaifahamu kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru

36 Basi Mwana akaiweka huru, mtakua huru kweli kweli

MAWASILIANO NA SADAKA
+255 758 914 023 (Grace Nkilla)
+255 713 403 882 (Grace Nkilla)