KOROSHO TV

Karibu KOROSHO TV - nyumbani kwa Filamu Kali kutoka TANZANIA.

🇹🇿 Hapa Tunakuonesha Filamu ndefu, drama za mapenzi, usaliti, ucheshi na maisha halisi yanayogusa moyo wa Mtanzania na Mtazamaji wa Afrika mashariki kwa ujumla

🎥Kila wiki tunakuletea Hadithi Mpya zenye mafumzo,burudani, na hisia Kali kutoka kwa waigizaji Bora wa BONGO MOVIE. 💔 Mapenzi, 😭 Machozi, ❤️Msamaha - Yote Yanapatikana Hapa KOROSHO TV

Subscribe Sasa Ila Usipitwe na Filamu Mpya Kama PENZI LA GIZA, MKE WA MTU na Nyingine Nyingi Zinazoendelea Kutikisa Mitandao

📆Filamu Mpya Kila wikiendi
📩 Kwa mawasiliano ya kibiashara Au Matangazo [ +255 686869123 / Email:- [email protected] ]

#KoroshoTv #FilamuZaKibongo #BongoMovie #TanzaniaMovie #FilamuZaMapenzi #SwahiliFilms #BongoCinema #AfricanMovies