EAGT MLIMA WA AHADI

Ukurasa Rasmi wa EAGT MLIMA WA AHADI ni mahali sahihi anapoabudiwa Mungu katika Roho na kweli. Kanisa letu linapatikana Mkoani Kagera, Manispaa ya Bukoba, Kata Kashai, Mtaa Rwome. Karibuni Sana Tushiriki Pamoja Na Bwana Atatubariki🙏