Kwaya Ya Mt. Anthony Wa Padua

KWAYA YA MT. ANTHONY WA PADUA - BUYUNI
Hii ni kwaya inayofanya utume wa uinjilishaji katika Misa za kila Dominika Parokia ya Mt. Yohane Paul II - Buyuni Jimbo Kuu la Dar es Salaam..

Tembelea mitandao yetu ya kijamii ili uwe wa kwanza kupata taarifa mbalimbali za Kwaya na Kanisa..
FACEBOOK_https://www.facebook.com/profile.php?id=61574998307177
INSTAGRAM_https://www.instagram.com/awpb_buyuni?igsh=bTA2MXV1YmQ3MTZp