KANA SDA CHOIR

karibu katika chaneli rasmi ya Kwaya ya kanisa la waadiventista wasabato kana iliyopo jijini Tanga,Tanzania.
hapa ndipo utakapobarikiwa kupitia nyimbo na video nzuri zenye kumtukuza Mungu.
karibu tumsifu Mungu.