Sumari Eliudi

Dkt. Eliudi Sumari ni mchungaji anayechunga kanisa la FPCT - Mrombo karibu na kituo cha polisi Muriet Jijini Arusha.

Dkt. Eliudi ni miongoni mwa waalimu wachache wa neno la Mungu, aliyepewa na Mungu karama ya kufundisha neno la Mungu kwa usahihi sana.

Ibada zetu siku ya Jumanne ni 10:30 jioni (Bible study), Jumapili 01:30 Asb hadi 03:00 Asb ni english service, 03:30 hadi 04:00 ni Bible study na 04:00 - 07:00 Mchana ni ibada kwa wote.

Kwa Maombi, ushauri, pamoja na maombezi kuhusu maisha, ndoa, kazi, au chochote kile kinachokusumbua tafadhali fika kanisani uonane na ofisi ya MCH. kwa msaada zaidi.

Tunapatikana kupitia mitandao ya kijamii Facebook kwa jina la "Zaidi ya washindi" Instagram "Zaidiyawashindi" na YouTube channel "Sumari Eliudi".

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa whatssap au tupigie kupitia namba 0754 875 152.