RBC MISSION CENTER

KARIBU KATIKA CHANNEL YETU YA RBC MISSION CENTER
Karibu kwenye channel yetu ya YouTube, mahali pa kukutana na Mungu kwa imani, mafundisho ya Neno la Mungu, maombi yenye nguvu, nyimbo za sifa, na ushuhuda wa matendo ya Mungu katika maisha yetu. Tunaamini katika ushiriki wa Roho Mtakatifu, ukombozi, uponyaji, na ustawishaji wa waumini kwa mujibu wa Biblia.

MISIONI YETU:
Kuwafikia watu wa Tanzania na duniani kote kwa Injili ya Yesu Kristo, kwa nguvu ya Roho Mtakatifu, kwa kutoa:
✔ Mafundisho ya Biblia yenye ufunuo
✔ Maombi ya kuvunja mazingira
✔ Nyimbo za Kipentekoste
✔ Ushuhuda wa uponyaji na miujiza
✔ Makala ya kuelimisha
✔ Matangazo ya ibada zetu

JIUNGE NASI:
📍 MAHALI: Victorius Genesis Hall - Kimara Temboni
📅 MUDA WA IBADA: Saa 2:30 ASUBUHI KILA J2
📱 MAWASILIANO: +255 763 240 048

🔔 SUBSCRIBE sasa na washa Alama ya Kengele kuwa wa Kwanza kuona Video zetu kila tutapokuwa tunaweka video mpya