amon mandele

Channel hii imesheheni mafundisho mbali mbali ya neno la Mungu.Katika channel hii utajifunza Mungu anasema nini juu ya maisha yako na namna gani Mungu anataka tuishi ili tuweze kuishi maisha ya ushindi siku zote..Kumbuka neno la Mungu ni hekima ya Mungu mwenyewe.Hivyo kila mtu atakayeyafanyia kazi mafundisho ninayopost kwenye channel hii ya youtube maisha yake hayatabakia jinsi yaliyokuwa Kwa Jina la Yesu..Neno la Mungu limeweka wazi kwenye Hosea 4:6 kwamba 'Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa" ...Channel hii ipo kwaajili ya kukuongezea maarifa Kiroho na ya maisha kwa ujumla.. AIdha katika channel ninapost mafundisho mapya mara tatu kwa wiki, jumatatu, jumatano na ijumaa..Na ili usikose mafundisho yote ninayopost kwenye yangu ni lazima U-SUBSCRIBE.. Mungu akubariki