JOHANITHA JEREMIAH

Johanitha Jeremiah.
💧Ni Mwalimu wa maswala ya vijana, kwenye eneo la ya kugundua kusudi, Maendeleo binafsi, uchumi na teknolojia.

💧Ni Mwalimu wa neno la Mungu na Muandishi wa vitabu, Mwimbaji wa nyimbo za kumsifu na kumtukuza Mungu.

💧Lakini pia ni mwanzilishi wa taasisi ya VISIONARY YOUTH ORGANIZATION (VYO)
Na kampuni ya JSMART DIGITECH

💧Lengo kubwa ikiwa Ni kutaka kuona badiliko katika maisha ya watu (Life transformation).