SNIPER MOVIE PRODUCTION
🎬 Karibu Sniper Movie Production – Nyumbani kwa filamu zenye ubunifu na ubora wa hali ya juu!
Sniper Movie Production ni kampuni ya kisasa ya utengenezaji wa filamu na video, yenye makao yake makuu jijini Mwanza, Tanzania. Tunajivunia kutengeneza na kusambaza filamu za kusisimua kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwemo Facebook, Instagram, TikTok na X (@sniper_movies) pamoja na hapa YouTube.
Mbali na filamu, studio yetu pia inajihusisha na kupiga picha na kushoot video za matukio mbalimbali kama:
Harusi 💍
Send-off 💃
Kipaimara ⛪
Sherehe za kuzaliwa 🎉
Na hafla nyingine zote maalum
Tunatoa huduma bora, za kisasa, na zenye kugusa moyo kwa kila tukio tunalolishughulikia.
📞 Wasiliana nasi kwa huduma bora kabisa:
📱 0752 571 219 / 0693 951 078
👉 Usisahau ku-subscribe ili usipitwe na filamu zetu mpya na matukio mbalimbali ya kusisimua.
Sniper Movie Production – Tunaweka Kumbukumbu hai kupitia Kamera!