Mtakatifu Cesilia Mahango

Kwaya ya Mtakatifu Cesilia kigango cha Mahango, Parokia ya Madibira, Jimbo la Mafinga. Tunainjilisha kupitia nyimbo za Nota za kikatoliki karibuni mfurahie kazi yetu ya uinjilishaji.