Nuru ya Neema TV

Zaburi 119:105 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.”

Nuru ya Neema TV ni mahali pa kutafakari, maombi na mafundisho ya kuinua roho. Tunawasilisha ujumbe wa matumaini, mwanga wa kweli, na neema ya Mungu kupitia Biblia na mafundisho ya kiroho. Karibu upokee mwanga unaobadilisha maisha.