St Francisco of Asis Choir (SFAC UDSM-MCHAS)

SFAC ni kwaya ya wanafunzi wakatoliki kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam ndaki ya afya na Sayansi shirikishi Mbeya (UDSM-MCHAS) Kilichopo Hospitali ya Rufaa ya kanda- Mbeya.

Kwaya hii ilianzishwa ikiwa na dhumuni la uinjilishaji na kumtangaza Kristo kwa Mataifa yote kupitia kuimba.