Sekondari ya Wasichana Collegine
Shule ya Sekondari ya wasichana ya Collegine inamilikiwa na Shirika la Masista Wacollegine wa Familia Takatifu. Shule hii inapatikana Mkoani Njombe. Ni shule iliyojikita katika falsafa ya Elimu na malezi bora kwa mtoto wa kike. Shule hii inapokea wanafunzi wote bila kujali itikadi zao za kidini, hivyo, malezi ya wanafunzi katika shule hii yanazingatia misingi na maadili ya Kikristo pasipo kuathiri dini nyingine.
Kwa elimu bora,malezi bora na stadi za maisha, Karibuni katika Shule ya Sekondari ya wasichana ya Collegine.
Kwa mawasiliano yoyote juu ya Shule yetu wasiliana na:
Mkurugenzi: 0762 761 576
Mkuu wa shule: 0762 896 146
M/Mkuu: 0762 238 057
Matukio katika picha kwenye mahafali ya kumi ya TYCS tawi la sekondari ya wasichana Collegine
Matukio katika picha - Misa takatifu kwenye Mahafali ya kumi ya TYCS Tawi la Collegine Girls' Sec
Tuyatunze mazingira yetu
HOLY - Live perfomance by pre form one students 2024 (28th Sunday of Ordinary year)
LAMB OF GOD - Live perfomance by pre form one students 2024 (28th Sunday of Ordinary year)
KYRIE, GLORY TO GOD, HOLY AND LAMB OF GOD - Live perfomance by pre form one students 2024
GLORY TO GOD - Live perfomance by pre form one students 2024 (28th Sunday of Ordinary year)
LORD HAVE MERCY-Live perfomance by pre form one students 2024 (28th Sunday of Ordinary year)
LOVE,GUIDE,TEACH (PENDA, LEA, FUNDISHA By France Kihombo-Sekondari ya wasichana Collegine
Tangazo la nafasi za masomo Collegine Girls' secondary school 2025
Collegine Staff tour 2024 (Njombe to Bagamoyo)
Bwana Nakushukuru - By, G.A Chavallah (Live Perfomance)
Karibu Askofu Eusebio Kyando - A.J Myonga (Live perfomance)
KUISHI KWA KUTUMIKIA - By Bernard Mukasa (Official Music Video)
What shall I Offer (Live perfomance), 33rd sunday of Ordinary year.
Sherehe za kuadhimisha miaka 10 ya Sekondari ya wasichana ya Collegine iliyopo Makambako - Njombe
Misa maalum kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa sekondari ya wasichana - Collegine.
KESHO - By Bernard Mukasa (Official Music Video)
ASANTE MUNGU by A.J.Myonga - SEKONDARI YA WASICHANA COLLEGINE
Sekondari ya wasichana Collegine - Pumzika kwa amani Marehemu Addo Nkenja wa Kidato cha kwanza
Sekondari ya wasichana Collegine - Mwenge wa Uhuru (Live perfomance)
Sekondari ya wasichana collegine - Hafla fupi pamoja na watoto wa shule za msingi jirani.
Mshike Elimu By Fortune Shimanyi - Sekondari ya Wasichana Collegine,
ZIARA YA KIMASOMO (STUDY TOUR) NA KIDATO CHA KWANZA OKTOBA 2022 (ISIMILA, KALENGA NA RUAHA)
Matukio katika Ziara ya masomo,Kidato cha kwanza, October 2022
Tumshukuru Mungu by Ayub Myonga. Live performance.
Tangazo la nafasi za masomo 2023