ZNORTH QASWIDA

Karibu Katika Youtube Chanel yetu ya ZNORTH QASWIDA, yenye lengo la kukuelimisha kukuburudisha lakini hasa kukupa ladha tofauti za maghani ya sauti za qaswida kutoka kwa vijana wa Zanzibar kaskazini kupitia madrasa yao iitwayo AL - TAUBAH iliyopo Nungwi - Zanzibar.
Unakaribishwa ikiwa unahitaji kuwakodi vijana hao#harusi#birth day#uradi#sherehe za kijamii na za kiserekali zenye mnasaba na dini yetu, ukihitaji kutungiwa kasida basi pia karibu.

Tunachokiomba pia kutoka kwako fanya #subscribe#share#comments,

Kwa mawasilioano
Phone: +255 773 659 031
+255 777 145 143
+255 674 906 145