AL BUSHRA TV BURUNDI

Karibu sana kwenye Al Bushra TV Burundi, mahali pa mawaidha yenye kugusa moyo na kumkumbusha kila mmoja wetu kumweka Mungu mbele katika kila jambo.
Tunakuletea ujumbe wa imani, mafundisho ya maisha, na ushauri wa kujenga nafsi yako kiroho na kijamii.

🕌 Mawaidha ya kila wiki
📖 Ujumbe wa matumaini na toba
🌍 Kwa wote wanaotafuta uzima wa kweli

Usisahau kusubscribe ili usikose video mpya kila mara.
👉 Karibu kwenye familia ya Al Bushra TV!

ikisima mamiwa na shaikh: abuu abdil jabbar abdul jabbar

kutoka inchini burundi 🇧🇮