CHAWAMATA TV

📺 CHAWAMATA TV ni kituo rasmi kinachokuletea 📖 habari, 🎥 simulizi, 🎓 elimu na 📸 matukio yanayohusu maisha ya madereva, usalama barabarani 🚦, haki za wafanyakazi ⚖️ na maendeleo ya sekta ya usafirishaji 🚛.

🚛 Tunatoa:

🌍 🇹🇿 ✈️ Habari kuu za kitaifa na za kimataifa ili uwe na uelewa wa kinachoendelea duniani kote.

🛣️ ⚓ Habari na matukio kutoka barabarani na bandarini.

👨‍👩‍👧‍👦 ❤️ Simulizi za kweli za maisha ya madereva na familia zao.

📚 🦺 Elimu kuhusu sheria za kazi, usalama kazini na haki zako.

🎤 👥 Makongamano, mahojiano na viongozi wa sekta ya usafirishaji.

🎊 💒 ⚰️ Habari na matukio ya kijamii — misiba, harusi, sherehe na matukio muhimu katika jamii.

💪 CHAWAMATA TV ipo kwa ajili yako — dereva 🚛, mfanyakazi 👷, mwanajamii 👨‍👩‍👦‍👦 na kila mpenda habari 📰.

✨ Ungana nasi kwa kusubscribe 📌 na kuwasha 🔔 arifa zako ili usipitwe na vipindi vyetu vyote vya kipekee na vya kuelimisha.