EBOSE HONEY HUB
Karibu Ebose Honey Hub 🍯🐝
Kupitia channel hii, nitakuletea mafunzo ya kina kuhusu ufugaji wa nyuki, mbinu bora za kisasa, na maarifa kuhusu mazao yote yatokanayo na nyuki kama asali, nta, propolis, royal jelly na mengineyo. Pamoja na fursa zinazopatikana katika sekta hii
Lengo langu ni kukuinua kupitia elimu, kukuonyesha fursa zilizopo katika sekta ya nyuki, na kukuwezesha kuanzisha mradi wako kwa mafanikio — iwe kwa kujiajiri au kuongeza kipato chako.
Mbali na elimu, nauza mazao ya nyuki ya aina zote, na vifaa muhimu kwa ufugaji wa nyuki kwa bei nafuu. Kwa yeyote anayehitaji ushauri, bidhaa, au vifaa, wasiliana nami kupitia:
📞 0613 166 980
💬 WhatsApp: 0692 206 980
Usisahau kusubscribe ili usipitwe na video mpya kila wiki. Karibu sana ujifunze, ujiwezeshe, na uinuke na Ebose Honey Hub!