Mshana The Blacksmith
Karibu ktk channel yangu inayohusu maisha ya marekani na vipi unaweza kufika USA, pia naongea mambo tofauti ya maisha, LETS TALK ABOUT USA, LIFE AND LOVE.
IG account: Mshana_The_Blacksmith
Facebook: Awadh Mshana
Thread: Mshana_The_Blacksmith
—-For donation to help this channel grow here is my cash app: $AwadhMshana
Masaa 24 ya kazi( stuff duty) Vlog na Mimi ujipatie experience ndogo ktk jeshi la 🇺🇸
GTC, card yenye pesa kama 10M Tsh/= unayopewa ukiwa mwanajeshi Marekani kwajili ya..
Short and clear massage to Tanzanians
Kwaheri America, ukijiunga na jeshi🇺🇸 jiandae na haya….
Gharama ya kubadilisha tairi(tire) la gari Marekani 🇺🇸jamaa kutoka Puerto Rico 🇵🇷 aliefika 🇰🇪
Safari ya kuishi 🇺🇸 na kuongea English-jitihada na changamoto za kujifunza lugha ngeni.
Marekani vs Dunia?!! Marekani ina Jeshi lenye nguvu zaidi dunia haijawahi kuliona🇺🇸 💀
Je Mwanajeshi wa Marekani anauhuru wa kuongea? Wananchi wa 🇺🇸 Kwanini wana Uhuru mkubwa?
“2022” Jinsi hii vita ya kuangamiza Nuclear Facility za Iran ilishapangwa mda na movie walitengeneza
Wanajeshi wa Marekani tukienda vitani/battle field tunakula M.R.E.- wacha nikuoneshe maisha yetu💀
Part2. Vlogging mji wa Jacksonville, GA🇺🇸 kutoka hotelini hadi nyumbani
🇹🇿🇺🇸Vlog ndani ya Mji wa Jacksonville🏘️🏙️. Hotel $150
Nachukia Binadamu. Nilivyokuwa bongo na ss hvi naishi 🇺🇸 . they will destroy your life.
Как полюбить себя | Как развод нанес мне финансовый ущерб | Живите по своим правилам.
ktk maisha ukijua kwamba HAMNA ATAEKUJA KUKU SAVE/SAIDIA utaacha kulaumu marafiki/watu
Full Graduation video ya kijana wetu 🇹🇿 ndani ya US.Army Basic Combat Training
Tabia ya kupuuzia mambo waafrika wengi yanatuponza Marekani.
Kwanini Marekani inawapenda Wahamiaji/Migrants.
Maandalizi ya kuingia field kwa siku kadhaa| US.Army 💀 as 12N(M.O.S)
Nipo Airport naelekea kwa shemeji yenu mpya🤕❤️😂😂🛩️
Maisha ya USA/Ulaya unatakiwa kujua ku think ahead. Snow iliyoshuka Leo nilishajipanga mapema.🍎🍗🥘
Tumekumbwa na Snow kubwa Jana usiku/asubuhi hii. Angalia mtaa wetu unavyoonekana now❄️🏂
Update kuhusu MOTO wa LA🔥🔥 🇺🇸 namuangalia huyu YouTuber akituonesha uhalisia
Ukiwa mwanajeshi USA usijifungie kambini if you wanna have fun| Tumefika Stone Mountain Atlanta.
Shift ya masaa 24 jeshini sio poa👀
#1 Clouds media #2 Millard Ayo #3 Diamond platnumz| mafanikio hayaji ndani ya usiku mmoja.
Unahitaji nini ktk maisha yako?
Tour ndani ya Museum ya Jeshi hapa kambini.
Kwanini sina watoto? Kwanini vijana msiwe na watoto kama….
Weekend tumeingiza $… na DoorDash. Nani Alianzisha DoorDash.