Kilimo Tanzania

Kilimo Tanzania ni jukwaa la kilimo likibeba uzalishaji mazao,ufugaji wa mifugo na uzalishaji samaki.Lengo kuu ni kuelimisha,na kukupa taarifa zote za kilimo Tanzania.
Jukwaa hili limejikita zaidi katika elimu,uchambuzi,mijadala,mafanikio,tafiti za kilimo pamoja na habari katika sekta hii muhimu.
Jukwaa hili ni kwa ajili ya mnyororo zima wa thamani katika sekta hii nzima na unafaa vijana,wakufunzi,watafiti,wanahabari,
wakulima ,wafanyabiashara na jamii nzima inayopenda kujifunza kuhusu kilimo kwa ujumla.