SAKINA TV BURUNDI

Karibu Sakina Online TV – Sauti ya Uislamu kutoka Burundi hadi Ulimwengu Mzima

Sakina Online TV ni kituo cha Kiislamu kinachokuletea kwa ukaribu:

• Khutba za Ijumaa kutoka misikiti mbalimbali
• Darsa na mafundisho ya Masheikh mashuhuri
• Vikao na mihadhara ya kina mama
• Mashindano ya Qur'an (Misabaqat)
• Vipindi maalum vya Masheikh na mahojiano
• Maswali ya mtaani sauti ya Waislamu mitaani

Tunakusogezea elimu, mawaidha na matukio ya Kiislamu kwa lengo la kuleta utulivu wa nafsi na maarifa sahihi.

Ungana nasi, ujifunze, uelimike, na usambaze kheri!

Wasiliana nasi:
📞 +257 67867271 / +257 62857331
📞 +966 56 671 3080

Sakina Online TV – Nuru ya Elimu, Sauti ya Haki.
Subscribe sasa, usipitwe na matukio