KKKT Kisasa TV

KKKT Kisasa Tv ni chaneli iliyo chini ya uongozi wa KKKT USHARIKA WA KISASA uliopo maeneo ya Kisasa Dodoma Tanzania.

Lengo la Chaneli hii ni kwa ajili ya kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu kwa njia ya mtandao kupitia mafundisho pamoja na uimbaji

RATIBA ZA IBADA
Jumapili
IBADA YA KWANZA
1:00 - 3:00 ASUBUHI
IBADA YA PILI
4:00 - 6:00 MCHANA
FELLOWSHIP
11:00 - 12:00 JIONI

Jumatatu - Ijumaa
MASIFU YA ASUBUHI (Morning Glory)
11:30 - 12:50 ASUBUHI

Jumatano
MASOMO YA BIBLIA (Bible Study)
11:00 - 12:00 JIONI

Ijumaa.(Mwanzo & Mwisho wa mwezi)
IBADA za KUSIFU & KUABUDU
1:00 - 3:30

Jumamosi
Ibada za nyumba kwa nyumba (Jumuiya)
Ibada ya pamoja kila mwisho wa mwezi
12:30 - 1:30 ASUBUHI

Account za Sadaka.
CRDB (KKKT KISASA MIRADI A/C)
015C448256401

M-PESA (LIPA NAMBA)
5812729
KKKT KISASA