Biblia na Imani Katoliki

Karibuni katika chaneli ya

KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU YA IMANI KATOLIKI

Ambacho huongozwa na Prof. Pd. William Ngowi, OFMCap., profesa katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Jordan, Morogoro.

Kipindi hiki huwa siku za Jumapili Jioni saa 10:30 hadi 12:00 katika Nyumba ya Wafransisko Wakapuchini, Kola, Morogoro.

Kama unaswali lolote kuhusu "Biblia na Imani Katoliki" tutumie / wasiliana nasi kupitia Email hii:

[email protected]

Asante.