St. Anthony's Cathedral Tanga
Media hii inamilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Jimbo katoliki la Tanga. Hiki ni kitengo cha Habari cha Kanisa ambacho kinarusha Mafundisho mbalimbali ya kanisa kama vile Maadhimisho mbalimbali ya Misa ndani ya Jimbo la Tanga hivyo wote mlipo katika Kanisa Katoliki ndani ya Jimbo mnakaribishwa kuomba kurushiwa Maadhimisho ya Misa katika Parokia yenu
Tazama wimbo wa Shirika wa Utoto Mtakatifu wakati wa Misa Takatifu ya uzinduzi wa parokia ya pongwe
Tazama Askofu Kiangio akiuliza maswali kwa vijana kabla ya kutoa Sakramenti ya Kipaimara
Homilia ya Askofu Kiangio
Tazama Padre Andrew Shekuamba anafanishwa na Mnyama Tembo kwa matendo yake mema kwa Jamii ya Kanisa
Neno la Mhashamu Kiango wakati wa Sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre wa Pd. shekuamba - Mombo
Tazama wanajubilei wakiwasha mishumaa 25 ya Jubilei yao
MISA YA SHUKRANI YA DARAJA TAKATIFU YA PADRE MJATA KUTOKA NYUMBANI KWAO NKONGOI JIMBO KATOLIKI TANGA
Tazama Msafara na mapokezi ya Pd Alfred S. Mjata Nyumbani kwao Nkongoi Lushoto.
KARIBU KWENYE MASIFU YA JIONI NA MISA TAKATIFU YA DARAJA TAKATIFU YA UPADRE JIMBONI TANGA
Karibu kwenye Novena ya Roho Mtakatifu leo siku ya pili tarehe 31.05.2025 siku ya Jumamosi
Karibu kwenye Novena ya Roho Mtakatifu leo tarehe 30.05.2025 siku ya kwanza ya Ijumaa
Kwaya ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga kutoka Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Jimbo la Tanga
UNGANA NA SHEMASI SHAO KUFAHAMU ALAMA MBALIMBALI ZINAZOTUMIKA KWENYE LITURUJIA TAKATIFU
Kwaya ya Mtakatifu Francisko Exvary kutoka Parokia ya Mtakatifu Francisko Exvary - Kwai Lushoto.
Mhashamu Thomas John Kiangio Askofu wa Jimbo Katoliki Tanga asisitiza Amani katika Nchi yetu
IBADA TAKATIFU YA IJUMAA KUU KUTOKA KANISA KUU LA MTAKATIFU ANTHONY WA PADUA JIMBO KATOLIKI TANGA
KWANINI BIKIRA MARIA ANAITWA MAMA WA KRISTO UNGANA NA SHEMASI RAYMOND SHAO ILI KUFAHAMU HILO.
TAFAKARI YA NENO LA MUNGU LEO JUMAMOSI TAREHE 29.03.2025 JUMA LA TATU LA KWARESMA MWAKA C WA KANISA
TAFAKARI YA NENO LA MUNGU LEO IJUMAA TAREHE 28.03.2025 JUMA LA TATU LA KWARESMA MWAKA C WA KANISA
TAFAKARI YA NENO LA MUNGU LEO ALHAMISI TAREHE 27.03.2025 JUMA LA TATU LA KWARESMA MWAKA C WA KANISA.
TAFAKARI YA NENO LA MUNGU LEO JUMATANO TAREHE 26.03.2025 JUMA LA TATU LA KWARESMA MWAKA C WA KANISA.
TAFAKARI YA NENO LA MUNGU LEO JUMANNE TAREHE 25.03.2025 JUMA LA TATU LA KWARESMA MWAKA C WA KANISA.
TAFAKARI YA NENO LA MUNGU LEO JUMATATU TAREHE 24.03.2025 JUMA LA TATU LA KWARESMA MWAKA C WA KANISA.
KWANINI BIKIRA MARIA ANAITWA MAMA WA KANISA UNGANA NASI KUFAHAMU KWA KINI JUU YA SIFA HII.
Kwaya ya Familia Takatifu kutoka Parokia ya Familia Takatifu Kwediboma Jimbo Katoliki Tanga.
Tazama jinsi maandamano ya wakinamama yalivyo simamisha shughuli katika viunga vya Chumbageni.
Mhe. Sana Pd. Mbena Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Tanga akifunga Siku ya Maombi ya Dunia.
KARIBUNI KWENYE SEMINA YA NDOA
TAFAKARI YA NENO LA MUNGU JUMANNE TAREHE 11.02.2025 JUMA LA NNE MWAKA C WA KANISA NA SHEMASI MSHAMI.