Kuku Chapchap Co Ltd

Karibu Kuku Chapchap
Hii ni channel yako ya kuaminika kwa elimu na biashara ya kuku. Hapa utapata:

✅ Mbinu bora za ufugaji wa kuku wa mayai na wa nyama
✅ Ushauri wa kitaalamu juu ya chakula, dawa na makazi ya kuku
✅ Mafunzo ya hatua kwa hatua kwa wanaoanza na wenye uzoefu
✅ Ushuhuda na mafanikio ya wafugaji wengine
✅ Ofa na huduma kutoka Kuku Chapchap

Tunakuonyesha namna ya kuongeza faida, kuepuka hasara na kufuga kwa njia ya kisasa.
👉 Usisahau kufollow, kusubscribe na kushare ili tuendelee kukuza ufugaji wa kuku kwa pamoja!

📞 Kwa mawasiliano na huduma: +255 719 882 004