SwahiliUnits

Dunia yetu imejaa ubunifu na ustadi kazi katika kila sekta, sisi kama wajenzi na wahandisi hatujaachwa nyuma katika ulimwengu huu wa tehama.Ungana nasi kwenye channel yetu katika harakati za kukuza na kutaarifisha umma juu ya masuala yote yahusianayo na ujenzi