Al-hidayah online tv

Asalaam Alaykum warahmatullah wabarakatu. ndugu wapenzi wa Alhidayah online tv Napenda kuwajuza kuwa Lengo kubwa la channel yetu hii ni Kuzinduana/kukumbushana mambo yahusuyo Dini yetu tukufu ya Kiislam kuelimishana, Kupeana taarifa na Ikibidi Kusaidiana kwa hali zote. Sio channel ya Vichekesho au Mambo yasiyo ya Msingi/Masrahi ya dini.
Hivyo tunakaribisha Maoni Ushauri popote Ulipo duniani Lengo ni kufikisha ujumbe wa Mtume wetu Muhammad s.a.w. Ulimwenguni kote

🔴TAFADHALI
USISAHAU KUSUBSCRIBE
LIKE
+NA USHARE
+PIA WAWEZA CHANGIA KUPITIA LIPA NAMBA AIRTEL `13547433` YAS `7638500`
WHATSAPP +255 627 151 444 +255 739 151 444
+Email; [email protected]
[email protected]

Pia Tunapatikana kupitia
👉Facebook
👉Instargram
👉Tiktok
👉X (twater)
👉Teregram
👉Threads
Al-hidayah online tv

UONGOFU KWA ULIMWENGU.