HABARI JIMBO KATOLIKI GEITA

JIMBO KATOLIKI GEITA HABARI
Mtazamaji karibu katika channel hii rasmi ya "Jimbo Katoliki Geita Habari"
inayokuletea habari na matukio yote ya Uinjilishaji ndani ya Jimbo. utapata Misa za Dominika, Upadrisho, Kwaya, mahubiri na tafakari mbalimbali, bila kusahau habari za maendeleo kimwili na kiroho hasa kutoka Taasisi zetu za Jimbo Katoliki Geita. usisahau ku- SUBSCRIBE, ku - LIKE na ku - SHARE. Ofisi zetu zipo Makao Makuu ya Jimbo, Katika Halmashauri ya Mji wa Geita, Barabara ya nendeni na Amani, Kata ya Buhalahala Mtaa wa Jimboni.