MUSIBA AMLIPUA KANGI, ATIKISA MBIO ZA UBUNGE MWIBARA
Автор: Mazingira Fm
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 51135
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Cyprian Musiba, ameibua mjadala mkali katika medani ya siasa baada ya kumshambulia hadharani mpinzani wake wa karibu, Kangi Lugola wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kile alichokiita "siasa za kupoteza muda na ahadi zisizotekelezeka".
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: