#TBC1
Автор: TBConline
Загружено: 2021-12-14
Просмотров: 4144
Katika Kipindi Cha Wekeza Tanzania, Katibu mkuu Ofisi ya Waziri mkuu uwekezaji, Prof. Godius Kahyarara akieleza kwa kina kuhusu mradi mkubwa wa mji wa viwanda wa Kigamboni mkoani Dar es Salaam
Saa 12:00 jioni TBC1, marudio Jumatano saa 7:30 mchana.
Mtangazaji : (Vumilia Mwasha) @vumilia_miyangu
Mwongozaji: NeligwaMugittu
Msanifu Picha: @clementsilla
Kimedhaminiwa na @azania.bank
#WekezaTanzania #Wekeza #Uwekezaji #Viwanda #Kaziiendelee #TBCOnline #TBCUpdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: