#LIVE
Автор: KANISA TV🙏💒, UTUME POPOTE ULIPO
Загружено: 2025-12-27
Просмотров: 323
#LIVE || MISA TAKATIFU YA VIWAWA YA BEACH MASS JIMBO LA BAGAMOYO NA JIMBO KUU LA DSM.
▪︎ Misa imeadhimishwa na Mhashamu Henry Mchamungu Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es salaam akishirikiana na Mapadre tofauti akiwemo Padre Mapunda Mkurungenzi wa Vijana Jimbo Katoliki la Bagamoyo pamoja na Padre Thomasi Njue Mkurungenzi wa Viwawa Jimbo kuu la Dar es salaam.
#karibu endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha KANISA TV ili iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia
Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share kwa Watu wengine
waweza kutuunga mkono kutuma chochote kwajili ya kusapoti Uinjilishaji namba / Yas
0657793511 Jina Dominicus Haule pia M.pesa
0756379340 Dominicus Haule
KANISA TV💒🙏, Utume popote ulipo🤝
Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾
Raha ya Utume kushirikisha 🙏
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: