MAZITO KUTOKA CHUO KIKUU MZUMBE WIKI HII
Автор: Ngowi TV
Загружено: 2018-11-13
Просмотров: 1216
Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea matukio matatu makubwa yatakayofanywa na chuo hicho wiki hii kuanzia tarehe 14, 15 na 16 mwezi novemba 2018. Ameyataja matukio hayo kuwa ni kongamano la kumbukizi ya mwalimu nyerere litakalofanyika tarehe 14 novemba 2018, Baraza la Masajiri(Convocation) litakalofanyika siku inayofuata ya tarehe 15 novemba 2018 na kuhitimishwa na sherehe za kwanza za mahafali ya 17 ya chuo Kikuu Mzumbe, yatakayoanza kampasi kuu ya Chuo hicho na kufuatiwa na kampasi za mbeya na Dar es Salaam.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: