Session 30 | Uchambuzi wa Kampuni ya Afriprise na Mr. Fortius Rutabingwa (September 2025))
Автор: Mindsetting Initiative
Загружено: 2025-09-19
Просмотров: 1609
UCHAMBUZI WA KAMPUNI YA AFRIPRISE
Leo tutarajie kupata uchambuzi wa kampuni ya Afriprise kutoka kwa Fortius Rutabingwa. Zaidi ya hapo, tutaendelea kujuzana mwenendo wa soko la hisa kwa wiki hii inayoisha..
Makala zote zinazotumika kwenye presentation zinapatikana hapa: https://drive.google.com/drive/folder...
DSE MTP: https://play.google.com/store/apps/de...
Hapa ni mawasiliano ya wataalamu wa Orbit Securities
📞 Fortius Rutabingwa: +255 620650616
📞 Aurelia Richard: +255 714 335 893
📞 Andrew Kiwelu: +255 715 680 348
***********************
MATANGAZO YA BIASHARA
#1. TANGAZA BIASHARA YAKO NA MINDSETTING INITIATIVE - KIPINDI CHA UCHAMBUZI WA SOKO LA MITAJI
Sasa unaweza kutangaza biashara yako katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative kwa viwango vilivyo ainishwa hapa chini:
MIFUMO:
a) Mfumo wa picha na maandishi: Unatuma picha ya tangazo na maandishi kwa ajili ya kusomwa kwenye kipindi kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja (Ezekiel atapanga maneno na kuyasoma kwa kiwango utakachochagua. Gharama ya kuyapanga maneno na kusoma ni Tzs 5,000).
b) Mfumo wa picha na sauti kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja. (Ezekiel ataunganisha picha na sauti ambayo utalipia gharama ya Tzs. 5,000)
c) Mfumo wa video kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja.
d) Mfumo wa picha na maandishi ambayo itawekwa kama posti ya kawaida katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative
VIWANGO NA BEI KWA MIFUMO YOTE YA KUSOMA, SAUTI NA VIDEO
Sekunde 30 - Tzs 30,000
Sekunde 60 (Dakika moja) - Tzs 50,000
Posti ya kawaida - Tzs 10,000
****************************
🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/46554275...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: