Jamii ya Dahalo yaishi maisha ya uchochole katika kaunti ya Lamu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-08-14
Просмотров: 3044
Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Lamu kulinda jamii ya DAHALO au WASANYE ili isitoweke kwani ni jamii ndogo zaidi nchini iliyo na idadi ya watu 573 pekee.Na kama anavyoarifu Rahma Rashid, jamii ya Dahalo inakabiliwa na changamoto za ukosefu wa elimu,huduma za afya sawa na ugumu wa maisha kwa jumla
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: