NJIA | Episode 1 – Mapenzi au Maamuzi? | Tamthilia ya Kiswahili ya Maisha Halisi
Автор: Roma Brand
Загружено: 2025-07-04
Просмотров: 2622
Maisha yana njia nyingi, lakini si kila njia hupeleka salama.
Hii ni hadithi ya mapambano, upendo usioeleweka, ndoa zenye mashaka, na ndoto zinazotaka kufa kabla hazijatimia.
Kila mtu ana siri, kila nyumba ina kilio, na kila tabasamu lina maumivu yake.
Tamthilia hii inakupeleka ndani ya maisha ya watu wa kawaida wanaojaribu kusimama kwenye misingi inayotikiswa kila siku – mapenzi, familia, pesa na heshima.
Usikose kufuatilia mfululizo huu wa kusisimua kila Alhamis, Ijumaa na Jumamosi hapa hapa kwenye YouTube.
Karibu kwenye NJIA – tamthilia halisi ya maisha.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: