Moria F.M.C - Mungu ni mwema
Автор: Moria free Methodist Church
Загружено: 2024-07-30
Просмотров: 8283
Wimbo wa Moria Choir uliogusa mioyo ya watu kwenye uzinduzi wa jengo jipya la Moria Free Methdist Church Kansas City, Missori mnamo 7.28th.2024.
Wimbo ambao umebeba mzito kwenye chorus 3 tofauti:
1. Kuonyesha wote wamtumainio Bwana Mungu hukimbiliya kwake tu siku zote
2. Walipitiya mengi wana Moria ila katika yote wanasema asante kwa Mungu maana Biblia inasema shukruni kwa kila jambo
3. Mungu baba atawale mioyo ya watu wake wamtumikiaho ili wajitowe wakfu kazini mwake ili kizazi chao kizirinthi baraka za Mungu wao.
Changamoto inampa mtu juhudi zatenda kazi ipasavyo ili ayafikiye malengo yake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: