MJUE KHADIJA OMARY KOPA - MKONGWE wa TAARAB wa WAKATI WOTE - MVINYO wa ZAMANI KWENYE CHUPA MPYA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-05-22
Просмотров: 10399
MJUE KHADIJA OMARY KOPA - MKONGWE wa TAARAB wa WAKATI WOTE - MVINYO wa ZAMANI KWENYE CHUPA MPYA...
Taarab ni aina ya muziki wa Afrika ya Mashariki yenye asili yake katika utamaduni wa Waswahili. Neno lenyewe limetokana na Kiarabu ‘Tarab’ linalomaanisha ‘Uimbaji Wimbo’.
Taarab ni muziki wa Waafrika wa Pwani uliopokea hathira kutoka tamaduni nyingi hasa muziki wa Waarabu na Wahindi. Kimsingi ni uimbaji wa mashairi unaofuata muziki wa bendi.
Bendi hizi hutofautiana kieneo: katika Taarab ya Unguja vinanda vya kulingana na Taarab za Kiarabu hupendelewa; katika Taarab ya Mombasa aina za ngoma ni muhimu; katika Taarab ya Tanga gitaa inapendwa. Siku hizi vyombo vya kisasa vimetumiwa pia.
Neno Taarab linaaminiwa lina asili ya visiwani Unguja ambako mnamo mwaka 1870, Sultani Sayyid Bargash alialika kundi la wanamuziki kutoka Misri kuja Zanzibar walioleta uimbaji wao aina ya Taarab. Alipopenda muziki huu Sultani alimtuma Mzanzibari Mohammed bin Ibrahim kwenda Misri ajifunze vyombo vya huk0. Mohammed aliporudi alikuwa mshairi wa Sultani akaendelea kuwafundisha marafiki vinanda vyake. Pamoja waliunda kundi la Nadi Ikhwani Safaa linalosemekana ni bendi ya kwanza iliyotumia jina la Taarab.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: