Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI | "MPINA ULETE USHAHIDI"

Автор: TBConline

Загружено: 2024-06-04

Просмотров: 360455

Описание:

Mvutano mkali umeibuka bungeni leo Juni 4, 2025 kati ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusu kiwango cha sukari ambacho nchi imeagiza kwa ajili kuondoa upungufu uliopo, ambapo Mpina amesema upungufu uliokuwepo ni tani 110,000 na hivyo kuishangaa wizara kuagiza tani 410,000.

Katika maelezo ya Waziri Bashe amesema kuwa sukari hiyo imeagizwa ili nchi inaposimamisha uzalishaji mwakani, kuwepo na sukari ya kutosheleza kwa miezi miwili ambayo uzalishaji utasimama.

Mpina ameliambia Bunge kuwa Waziri Bashe anadanganya, na hivyo Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akamtaka kuwasilisha uthibitisho kuwa waziri amedanganya Bunge, kama ambavyo kanuni zinataka.

Je, Mpina anao ushahidi? Kanuni zinasemaje akikosa ushahidi? Endelea kufuatilia TBC Digital.

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI | "MPINA ULETE USHAHIDI"

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

MPINA AIBUA 'VARANGATI' BUNGENI, AMTAJA WAZIRI MKUU, SPIKA Amtaka Alete USHAHIDI

MPINA AIBUA 'VARANGATI' BUNGENI, AMTAJA WAZIRI MKUU, SPIKA Amtaka Alete USHAHIDI

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

NAPE ADAI HAKUNA WIZI wa BANDO, MUSUKUMA ACHARUKA, SPIKA TULIA AINGILIA

NAPE ADAI HAKUNA WIZI wa BANDO, MUSUKUMA ACHARUKA, SPIKA TULIA AINGILIA

Kauli kali za SPIKA mwanzo mwisho

Kauli kali za SPIKA mwanzo mwisho "Mama hatabiriki" || Pambana na kitu kingine sio Ndugai

UTATA KIFO CHA KAWAWA/ALITOKA NYUMBANI MZIMA/ALINIOA NIKIWA NA WATOTO/TOFAUTI ZA FAMILIA ZILIKUWEPO

UTATA KIFO CHA KAWAWA/ALITOKA NYUMBANI MZIMA/ALINIOA NIKIWA NA WATOTO/TOFAUTI ZA FAMILIA ZILIKUWEPO

BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa

BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa

MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.

MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.

MBUNGE ATINGA NA POMBE BUNGENI, K.VANT, KONYAGI, AZIPANGA MEZANI -

MBUNGE ATINGA NA POMBE BUNGENI, K.VANT, KONYAGI, AZIPANGA MEZANI - "KWANINI MNAZUIA GONGO?"

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA  mp4

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA mp4

DAKIKA 50 ZA MABISHANO MAKALI BUNGENI HALIMA MDEE, MWIGULU, MPINA, MUSUKUMA AMALIZA MZOZO

DAKIKA 50 ZA MABISHANO MAKALI BUNGENI HALIMA MDEE, MWIGULU, MPINA, MUSUKUMA AMALIZA MZOZO

MJUE LUHAGA MPINA ALIYEGEUKA MSUMARI wa MOTO kwa SERIKALI - MAGUFULI AKAMTEUA AKAACHWA SOLEMBA...

MJUE LUHAGA MPINA ALIYEGEUKA MSUMARI wa MOTO kwa SERIKALI - MAGUFULI AKAMTEUA AKAACHWA SOLEMBA...

MVUTANO MKALI BUNGENI: DKT. TULIA vs DKT MWIGULU, MUSUKUMA ASULUHISHA

MVUTANO MKALI BUNGENI: DKT. TULIA vs DKT MWIGULU, MUSUKUMA ASULUHISHA

FULL VIDEO: HOTUBA NZIMA ya WAZIRI wa KILIMO BASHE AKIHITIMISHA HOJA YAKE BUNGENI 2023 | Awa Mbogo!

FULL VIDEO: HOTUBA NZIMA ya WAZIRI wa KILIMO BASHE AKIHITIMISHA HOJA YAKE BUNGENI 2023 | Awa Mbogo!

CAMERA ZA SIRI ZILIVYONASA WIZI WA MAMILIONI / WAZIRI BASHE AWA MKALI,

CAMERA ZA SIRI ZILIVYONASA WIZI WA MAMILIONI / WAZIRI BASHE AWA MKALI, "INATOSHA".

BASHE akimbizwa na Raisi MAGUFULI mbele ya wananchi wake Nzega ombi lake lakataliwa.

BASHE akimbizwa na Raisi MAGUFULI mbele ya wananchi wake Nzega ombi lake lakataliwa.

Hussein Bashe: Ampa Makavu Luhaga Mpina I Tusifanye Siasa Kwenye Mambo Hatari I Bajeti Yapita 100%

Hussein Bashe: Ampa Makavu Luhaga Mpina I Tusifanye Siasa Kwenye Mambo Hatari I Bajeti Yapita 100%

Mwanzo Mwisho Luhaga Mpina Akifunguka Nyumbani Kwao Kisesa Mkoani Simiyu

Mwanzo Mwisho Luhaga Mpina Akifunguka Nyumbani Kwao Kisesa Mkoani Simiyu

Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni

Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni

Luhaga Mpina Afunguka Mbele ya Rais Samia, Wananchi Wamashangilia Mwanzo-Mwisho: 'Kisesa Tunakudai'

Luhaga Mpina Afunguka Mbele ya Rais Samia, Wananchi Wamashangilia Mwanzo-Mwisho: 'Kisesa Tunakudai'

DKT. BASHIRU AINGIA KWENYE 18 ZA ODEMBA AMTANDIKA MASWALI MAZITO/AFUNGUKA SAKATA LA CHADEMA,UCHAGUZI

DKT. BASHIRU AINGIA KWENYE 18 ZA ODEMBA AMTANDIKA MASWALI MAZITO/AFUNGUKA SAKATA LA CHADEMA,UCHAGUZI

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]