WAKULIMA NA WAFUGAJI WAKATANA MAPANGA MORO, MMOJA AFARIKI, NYUMBA 17 ZACHOMWA MOTO
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2021-12-30
Просмотров: 8716
Mapigano ya wakulima na wafugaji yayotokea katika Wilaya ya Malinyi Mkoa Morogoro na kusababisha mtu mmoja kupoteza maisha wengine sita wamejeruhiwa.
Katika mapigano hayo nyumba zaidi ya 15 zikichomwa moto huku baadhi ya familia kulazimika kukimbia porini.
Mapigano hayo yamehusisha Wakulima na Wafugaji Jamii ya Kisukuma wanaoishi katika Kijiji cha Alabama Kata ya Itete Wilaya ya Malinyi.
DC wa Malinyi, Mathew Massele ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya hiyo anathibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema tukio hilo litokea Desemba 27,2021 baada ya wafugaji kudaiwa kuingiza mifugo katika mashamba ya wakulima yaliyopo katika skemu ya umwagiliaji ya kijiji cha Alabama
WAKULIMA NA WAFUGAJI WAKATANA MAPANGA MORO, MMOJA AFARIKI, NYUMBA 17 ZACHOMWA MOTO
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: