Ukisikia Ufugaji Unatajirisha NIKWELI Usibishe !! Mzee Anapata Maziwa Lita zaidi ya 200 kila siku.
Автор: Rubaba Tv
Загружено: 2022-12-01
Просмотров: 89785
Tunaposema Ufugaji unalipa nikweli tunamaanaisha, ila nipale tu utakapo amua kubadilika na kufanya ufugaji kibiashara.
Leo tumesafiri mpaka mkolani mkoani Mwanza kwenda kumtembelea Mzee SHARIF SAIDI Alimaalufu kama KWEZI ambae ni mfugaji wa ng’ombe wa maziwa, na kwa mara kwanza tulifahamiana nae pale aliopotupigia simu baada ya kututazama kupita RUBABA TV, na kilicho ttuvutia mpaka kumtembelea si tu kwa sababu alitupigia simu ila ni jinsi ambavyo mfugaji huyu ameamua kuwekeza muda, nuda na pesa kufanya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa kibiashara.
Nisiwe mzungumzaji sana, Katika video hii kunamengi ya kujifunza kutoka kwa mfugaji huyu kwani yeye ni moja ya wafugaji ambae amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, na nikuibie sili kwa siku anapata hadi zaidi ya lita miambili za maziwa amabazo ni zaidi ya laki 2 za kitanzania kila siku.
huyu hapa msikilize
CONTACT US
EMAIL: [email protected]
PHONE: +255(0) 764148221
SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: