Boutross ft
Автор: Boutross Munene
Загружено: Дата премьеры: 27 нояб. 2022 г.
Просмотров: 206 735 просмотров
Stream Mawingu on DSP - https://onerpm.link/Boutross-Mawingu
Performed by Boutross and Dope-I-Mean
Beat by Neevo Worldwide
Mixed and Mastered by Boutross Munene
Label - ADF Music
Distributed by One RPM.
Video Powered by Mziki Sessions
Shot and Directed by Sobu
ITHAA
Yea
Ei
( Boutross )
Si pendi hizo form
KWANI!
juu morio ali shikwa mali mtaani
aki rombosa ngoko flani
chali ali mshtua ati hajui
ni ya nani
kumbe huyo ngweus alikuwa asha mseeti
boy ali shindwa nigani ndio maana hauwezi
ni pata na ngweus ana itwangwa nyokabi
story za nyoka ndio si taki
na skianga siku hizi vijana wameshika
na shindwa wameshikia wapi
me na uliza tu mara ngapi
tume ingia stage tuka angusha mabati
there is too many fish in the sea
ni sawa kuna shark na kuna tilapia
kuna wenye hukulanga vifiti vibaya
na kuna wenye hukulanga mafi
( Chorus )
niko ithaa eeh
vile ita kuja haina worse
asha ni ambianga ni sawa
nika mwambianga reverse
aah!
aah!
ok what haaa!
drop it like baby a slut
aka ni ambianga ni sawa
nika mwambianga reverse
niko ithaa eeh
vile ita kuja haina worse
asha ni ambianga ni sawa
nika mwambianga reverse
aah!
aah!
ok what haaa!
drop it like baby a slut
aka ni ambianga ni sawa
nika mwambianga reverse
( Dope-I-Mean )
kuna sos flani mtaani
ana gari lakini
yu dedi mamboch
ata na shindwa ni aje
ithought ukiwa na ganji
Maskimbi hu flock
so me na wife wake
hupiganga shower
mangware aki chuck
tuko ndani ya bafu
kwenye wasafi na chezanga chafu
so nina nguna wawili watatu
ina ni shinda mathafu
heeee!
maskani nakunywanga uji ya njoti
me ndio kunyamba kusema kwa ploti
ni ite alibaba juu geri forty
ata jo jaba ikishika sichochi
fikiwa kahawa ukule makofi
uki ingiza baridi
jo shika kikoti
juu me ni kali uta
kula ma swaki juu niko
(chorus)
niko ithaa eeh
vile ita kuja haina worse
asha ni ambianga ni sawa
nika mwambianga reverse
aah!
aah!
ok what haaa!
drop it like baby a slut
aka ni ambianga ni sawa
nika mwambianga reverse
niko ithaa eeh
vile ita kuja haina worse
asha ni ambianga ni sawa
nika mwambianga reverse
aah!
aah!
ok what haaa!
drop it like baby a slut
aka ni ambianga ni sawa
nika mwambianga reverse

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: