MJUE SULTANI MAKENGA GENERALI wa M23 ANAYEPASUA VICHWA vya MARAIS AKIELEKEA KUICHUKUA KINSHASA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-02-01
Просмотров: 138520
MJUE SULTANI MAKENGA GENERALI wa M23 ANAYEPASUA VICHWA vya MARAIS AKIELEKEA KUICHUKUA KINSHASA...
Hivi sasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inakabiliwa na mapigano makali kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23 katika mji wa Goma, mashariki mwa nchi. Mapigano haya yamesababisha maelfu ya raia kukimbia makazi yao na mamia kuaawa – lakini ni nani hasa huyu kiongozi wa M23 ambaye ameleta kizaa chochote hiki?
Global TV inachambua kwa undani sakati zima, tukianza na kukuletea ASILI HASA YA SAKATA HILI limeanza kuzua mgogoro na malumbano mengine miongozi mwa viongozi wa Afrika Maskariki, Kati na kusini….
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: