Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh Sheikh Hasina akuhumiwa kifo | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-11-17
Просмотров: 810
Mahakama ya uhalifu wa kivita nchini Bangladesh imemhuku kifo waziri mkuu wa zamani Sheikh Hasina baada ya kumkuta na hatia kwa kosa la uhalifu dhidi ya ubinadamu hatua inayohitimisha kesi ya miezi kadhaa inayohusisha shtaka la kuandamwa waandamanaji waliokuwa wakiipinga serikali yake.Hali ya usalama imeimarisha katika mji mkuu Dhaka.#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: