Mr. Kagame - GOLO | Official Music Video
Автор: Mr. Kagame
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 18427
"GOLO" by Mr. Kagame
Stream: https://BlackMarket.lnk.to/golo
Produced by Jazz On The Beat
#mrkagame #golo #rwandanmusic
GOLO Lyrics:
Wahisemo kumbabariza roho
Ndavunika nubwo ntakubwira
Umesema kwamba hautaniaca
Nikakuskia nikakuaminia
Myaka mingi mi na wewe kwa mapenzi ( nyabusa )
Ni amarira uuu adashira
Ona leo umeniaca umeniharibia na maisha
Lazma nikunyue pombe nimuagie moyo mpaka kesho
Ona leo umeniaca umeniharibia na maisha ( wowe )
Lazma nikunyue pombe nimuagie moyo mpaka kesho
Wahisemo kumbabariza roho
Ndavunika nubwo ntakubwira
Wahisemo kujya umbabaza wowe
Ndavunika nubwo ntakubwira
Ona leo sasa
Umenisahau sana
Kila nikisema
Unajibu mabaya
Ona leo sasa
Umenisahau sana
Kila nikisema
Unajibu mabaya
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Vile ananisema eti ananipenda
Japo sina hera kesho ataolewa
Vile ananisema eti ananipenda
Japo sina hera kesho ataolewa
ila mimi bado nangangana
Mimi bado nangangana
ila mimi bado nangangana
Mimi bado nangangana
Wahisemo kumbabariza roho
Ndavunika nubwo ntakubwira
Wahisemo kujya umbabaza wowe
Ndavunika nubwo ntakubwira
Ona leo sasa
Umenisahau sana
Kila nikisema
Unajibu mabaya
Ona leo sasa
Umenisahau sana
Kila nikisema
Unajibu mabaya
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Nilikuambia Golo
Golo
Golo
Golo
Golo
GOLO 3 Piece;
https://drive.google.com/drive/folder...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: