Huu Mwaka by
Автор: Damas Bamba
Загружено: 2025-11-12
Просмотров: 4966
🎬Officiel Visualiser –Afande Ready ft Damas Bamba «HUUU MWAKA» 🎶🔥
Le nouveau hit de Afande Ready en collaboration avec Damas Bamba est enfin là ! Merci à toute l’équipe qui a rendu ce projet possible 🙏💥
🎤 Artist : Afande Ready ft Damas Bamba
🎧 Audio : Dan Gonga Beat Arsène Prod Dav Recoord
📹 Video : Gab One Shoot
💿 Prod : TWT, Gentil MIHIGO, Chance Chirimwami, Jean One Chirimwami, Nelson Chiza, Guy Mubalama, Mediatrice Menemene, Berlice Kahavu.
#music #rap #newmusic #goma #lyrics #dancehall #afrobeat #love #musique #duet #fyp #hiphop #freestyle
Paroles :
Afra
Damas Bamba
Huu Mwaka
Day Hahaha
Sinager OG
DBMusic
Nataka nionge na shabiki zangu na mnahi. Wandugu zangu mutege sikio, musikize hii.
Kuna vitu ambavyo vimeni kutana mimi, uumuaka ni lazma ni waelize na nyinyi.
Ni long time ni likuwa naro classic. Hila siyelewi mwenzenyu ya liisha vipi.
Ivi my time nimeyatumia ki stupid. Haa haa nilicho juwa. Sio madogo ila ni mengi.
Ulimi wangu Njo unabana na autaki kuongea na moyo unasema ukiongea ma shabiki wata kuchukia.
Kuna vita, mimi, na bigi ambayo imetokea. Na mina juwa watu wengi waneza tamani kuyajua.
Niliacha shule juya muziki ni kamba tana na naru classic band.
Wala siku jali kuwa kwenye uongozi wa Afande.
Wali nifunza ukali, waka nifunza na disipline.
Hata siku fichi sometimes inanimisi naro band.
Hakukwepo wandugu kama sisi.
Hila wanadamu wakatuingilia katikati.
Wengi wange tamani wawe sisi.
Ijapo tuliachana kama moshi wanyasi.
Siri ya nyumbani siwezi kuyatowa inje
Tulio yapitia pamoja, nije ni waambiye wengine.
Njimbo ni uumuaka. Ni kama tunaongea vingine.
Tuhache haya, tufate mada, tu kama wengine.
Maisha ni mafupi Ni vijana jo hawajui kesho.
Hacha vya chuki, uneza lala na usiamuke kesho.
Na kuna time, uneweza kujiona kama wewe ni special.
Siku zikifika, suta kufa tu. Tuachie vitisho.
Tunacho gombania vitapita, sasa tuache kugumbana.
Uumuaka, mimi na njinyi atuta shindana. Mwisho wasiku isijefika tushindwe kusalimiana.
Uumuaka, mimi na njini ni Peace sana.
Uumuaka, nilazma nijenge amani na watu.
Uumuaka, mimi sina uwadui na mtu.
Uumuaka, nitakipata nilicho kikosa. Uumuaka, naenda kuyasame makosa.
Damas Bamba....
Refrain :
Huu mwaka Lazima nita kuwa Boss, Hu Mwaka
Huu Mwaka ndazi Tafuta Toch, Hu Mwaka
Huu Mwaka Nita Zijaza ma poche, Hu Mwaka
Niwa mibaraka siyo wa Mikoshi, Hu Mwaka
Refrain :
Huu mwaka Lazima nita kuwa Boss, Hu Mwaka
Huu Mwaka ndazi Tafuta Toch, Hu Mwaka
Huu Mwaka Nita Zijaza ma poche, Hu Mwaka
Niwa mibaraka siyo wa Mikoshi, Hu Mwaka
Nda Fanya Amani na Afande Ready Huhuhu
Hu Mwaka
Mana misijuwi anacho ki Mindi Huhuhu Hu Mwaka
Mudogo Wako weuna muona Kama Bandit ? HuHuhU
Hu mwaka lazma yote tuya chenji
Hu
MWAKA
Couple 2.
Ninichokiona kilinifunza zaidi ya Elimu ya chuo.
Kumbe samani likipotea ya naumiza sana moyo.
Kuna watu wengini ndiyo, wengini feki au siyo. Watu wana maneno yawo usi ya tege masikyo.
Nimejifunza muda ndo kitu cha maana. Kumbe muda ukiupoteza, una poteza kitu cha maana.
Muda wako uchunge njisi una ichunga mboni yako.
Muda wako siugawanye boro igawanye muli wako.
Kuna muda waku cheka, kuna muda waku liya. Muda wako waku cheka, usiufanye muda waku liya.
Kuna vitu vitafika, vitakufanya utatulia. Kama hivyo vitu avijafika, ni muda ndo unatulia.
Ninacho kitamka ni nusu ya maumivu ambayo nayo yapitia.
Ubongo na uchamsha ili nsikose cha kuongea.
Nikonatafta nyota yangu Ina Kimbiya, ijapo kwa macho na iyona, kwa mikono siwezi I Chukuwa.
Kiswaili na itamka, ijapo sio luga ya kongo. Ona rap na uchamsha, ijapo mimi sio mbongo.
Of course, vitu fulani unaweza kuviona na ukaumia.
Because sio kilakile unachokiona, Ndo utaongea.
Umbwa ni rafiki uki ishi naye, pia ni mnyama ukimula.
Adui ni rafiki unaye ishi naye ila Siya semi kwa ujumla.
Ishina watu, njo utajua, ni nyama lipi, likali kwenye jingo.
Mina mengi ya kusema ilasiwezi kuyataya kwa uhu wimbo.
Best Raper aumwaka njowangu Wakati
Nda Fanya tuh japo Hani sapoti mwenye kiti
Uumuaka, nilazma nijenge amani na watu.
Uumuaka, mimi sina uwadui na mtu.
Uumuaka, nitakipata nilicho kikosa. Uumuaka, naenda kuyasame makosa.
Damas Bamba....
Refrain :
Huu mwaka Lazima nita kuwa Boss, Hu Mwaka
Huu Mwaka ndazi Tafuta Toch, Hu Mwaka
Huu Mwaka Nita Zijaza ma poche, Hu Mwaka
Niwa mibaraka siyo wa Mikoshi, Hu Mwaka
Refrain :
Huu mwaka Lazima nita kuwa Boss, Hu Mwaka
Huu Mwaka ndazi Tafuta Toch, Hu Mwaka
Huu Mwaka Nita Zijaza ma poche, Hu Mwaka
Niwa mibaraka siyo wa Mikoshi, Hu Mwaka
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: